MwanzoDhikriDua ya mwenye kuogopa dhulma ya mwenye kutawaladhikri 1

Dua ya mwenye kuogopa dhulma ya mwenye kutawala — dhikri 1

دعاء من خاف ظلم السلطان · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ ربَّ السَّمَوَاتِ السَّبْعِ، وَرَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ، كُنْ لِي جَاراً مِنْ فُلاَنِ بْنِ فُلاَنٍ، وَأَحْزَابِهِ مِنْ خَلاَئِقِكَ، أَنْ يَفْرُطَ عَلَيَّ أَحَدٌ مِنْهُمْ أَوْ يَطْغَى، عَزَّ جَارُكَ، وَجَلَّ ثَنَاؤُكَ، وَلاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu Mola wa mbingu saba na Mola wa arshi tukufu,kuwa mlinzi wangu kutokana na fulani bin fulani, na vikosi vyake miongoni mwa viumbe wako, kwa kunisaliti mmoja miongoni mwao, au kunifanyia uadui, anaheshimiwa unayemlinda, na zimetukuka sifa zako, na hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha