Dhikri
Kiswahili
Dhikri · Hisnul Muslim
Soma · Sikiliza
0 · Nyiradi za wakati wa kulala
أذكار النوم
13 dhikri
1 · Nyiradi za asubuhi na jioni
أذكار الصباح والمساء
24 dhikri
2 · Dua ya kuvaa nguo
دعاء ُلبْس الثوب
1 dhikri
3 · Dua ya kuvaa nguo mpya
دعاء ُلبْس الثوب الجديد
1 dhikri
4 · Dua unayo muombea aliyevaa nguo mpya
الدعاء لمن لبس ثوبا جديدا
2 dhikri
5 · Dua ya kuvua nguo
ما يقول إذا وضع ثوبه
1 dhikri
6 · Dua ya kuingia chooni
دعاء دخول الخلاء
1 dhikri
7 · Dua ya kutoka chooni
دعاء الخروج من الخلاء
1 dhikri
8 · Dua kabla ya kutawadha
الذكر قبل الوضوء
1 dhikri
9 · Dua baada ya kutawadha
الذكر بعد الفراغ من الوضوء
3 dhikri
10 · Dua ya kutoka nyumbani
الذكر عند الخروج من المنزل
2 dhikri
11 · Dua ya kuingia nyumbani
الذكر عند دخول المنزل
1 dhikri
12 · Dua ya kwenda Msikitini
دعاء الذهاب إلى المسجد
1 dhikri
13 · Dua ya kuingia Msikitini
دعاء دخول المسجد
1 dhikri
14 · Dua ya kutoka Msikitini
دعاء الخروج من المسجد
1 dhikri
15 · Dua za adhana
أذكار الآذان
5 dhikri
16 · Dua za kufungulia sala
دعاء الاستفتاح
6 dhikri
17 · Dua ya wakati wa kurukuu
دعاء الركوع
5 dhikri
18 · Dua ya kuinuka kutoka kwenye rukuu
دعاء الرفع من الركوع
3 dhikri
19 · Dua ya wakati wa kusujudu
دعاء السجود
7 dhikri
20 · Dua za kikao kati ya sijda mbili
دعاء الجلسة بين السجدتين
2 dhikri
21 · Dua za sijda ya kisomo
دعاء سجود التلاوة
2 dhikri
22 · Dua ya tashahhud
التشهد
1 dhikri
23 · Kumsalia Mtume (s.a.w) baada ya tashahhud
الصلاة على النبي بعد التشهد
2 dhikri
24 · Dua baada ya tashahhud ya mwisho kabla ya salam
الدعاء بعد التشهد الأخير قبل السلام
11 dhikri
25 · Nyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala)
الأذكار بعد السلام من الصلاة
8 dhikri
26 · Dua ya swalatul-Istikhara (swala ya kutaka maelekezo au kutaka ushauri katika jambo)
دعاء صلاة الاستخارة
1 dhikri
28 · Dua ya kuamka kutoka usingizini
أذكار الاستيقاظ من النوم
4 dhikri
29 · Dua unapojigeuza kutoka usingizini usiku
الدعاء إذا تقلب ليلا
1 dhikri
30 · Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko
دعاء الفزع في النوم و من بُلِيَ بالوحشة
1 dhikri
31 · Anayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbaya
ما يفعل من رأى الرؤيا أو الحلم
2 dhikri
32 · Dua ya Qunut ya witri
دعاء قنوت الوتر
3 dhikri
33 · Dua baada ya salamu katika swala ya witri
الذكر عقب السلام من الوتر
1 dhikri
34 · Dua ukiwa na hamu na huzuni
دعاء الهم والحزن
2 dhikri
35 · Dua ya kupatwa na janga au balaa
دعاء الكرب
4 dhikri
36 · Dua ya anaekutana na adui au mwenye kutawala
دعاء لقاء العدو و ذي السلطان
3 dhikri
37 · Dua ya mwenye kuogopa dhulma ya mwenye kutawala
دعاء من خاف ظلم السلطان
2 dhikri
38 · Kuomba dua dhidi ya adui
الدعاء على العدو
1 dhikri
39 · Dua ya anewaogopa watu
ما يقول من خاف قوما
1 dhikri
40 · Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake
دعاء من أصابه وسوسة في الإيمان
3 dhikri
41 · Dua ya kulipa deni
دعاء قضاء الدين
2 dhikri
42 · Dua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika swala yake au kisomo chake
دعاء الوسوسة في الصلاة و القراءة
1 dhikri
43 · Dua ya ambae limekuwa gumu kwake jambo
دعاء من استصعب عليه أمر
1 dhikri
44 · Analosema aliyefanya dhambi
ما يقول ويفعل من أذنب ذنبا
1 dhikri
45 · Dua ya kumfukuza shetani na wasiwasi wake
دعاء طرد الشيطان و وساوسه
3 dhikri
46 · Dua anayoisoma mtu akitokewa na jambo asiloliridhia au akishindwa kufanya jambo
الدعاء حينما يقع ما لا يرضاه أو ُ غلب على أمره
1 dhikri
47 · Pongezi ya kupata mtoto, na jawabu lake
ﺗﻬنئة المولود له وجوابه
1 dhikri
48 · Dua wanayo kingwa nayo watoto
ما يعوذ به الأولاد
1 dhikri
49 · Dua ya kumtembelea mgonjwa
الدعاء للمريض في عيادته
2 dhikri
50 · Fadhila za kumtembelea mgonjwa
فضل عيادة المريض
1 dhikri
51 · Dua anayoomba mgonjwa aliyekata tamaa ya kupona
دعاء المريض الذي يئس من حياته
3 dhikri
52 · Kumlakinia anaetokwa na roho
تلقين المحتضر
1 dhikri
53 · Dua ya aliyepatwa na msiba
دعاء من أصيب بمصيبة
1 dhikri
54 · Dua ya kumfunga macho maiti
الدعاء عند إغماض الميت
1 dhikri
55 · Dua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwa
الدعاء للميت في الصلاة عليه
4 dhikri
56 · Dua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswalia
الدعاء للفرط في الصلاة عليه
2 dhikri
57 · Dua ya kumhani aliyefiwa
دعاء التعزية
1 dhikri
58 · Dua ya kumuingiza maiti ndani ya kaburi
الدعاء عند إدخال الميت القبر
1 dhikri
59 · Dua baada ya kumzika maiti
الدعاء بعد دفن الميت
1 dhikri
60 · Dua ya kuzuru makaburi
دعاء زيارة القبور
1 dhikri
61 · Dua ya upepo mkali
دعاء الريح
2 dhikri
62 · Dua ya radi
دعاء الرعد
1 dhikri
63 · Dua ya kuomba mvua
من أدعية الاستسقاء
3 dhikri
64 · Dua ya mvua inaponyesha
الدعاء إذا نزل المطر
1 dhikri
65 · Dua baada ya mvua
الذكر بعد نزول المطر
1 dhikri
66 · Dua ya kutaka mvua iondoke (wakati itakapoleta madhara)
من أدعية الاستصحاء
1 dhikri
67 · Dua ya kuona mwezi unapoandama
دعاء رؤية الهلال
1 dhikri
68 · Dua ya wakati wa kufungua swaumu
الدعاء عند إفطار الصائم
2 dhikri
69 · Dua kabla ya kula
الدعاء قبل الطعام
2 dhikri
70 · Dua baada ya kula
الدعاء عند الفراغ من الطعام
2 dhikri
71 · Dua ya mgeni kwa aliyemkaribisha chakula
دعاء الضيف لصاحب الطعام
1 dhikri
72 · Dua ya kumuombea aliyekupa kinywaji au anetaka kukupa
التعريض بالدعاء لطلب الطعام أو الشراب
1 dhikri
73 · Dua ya kumuombea uliye futuru kwake
الدعاء إذا أفطر عند أهل بيت
1 dhikri
74 · Dua ya aliyealikwa chakula lakini akawa amefunga
دعاء الصائم إذا حضر الطعام ولم يفطر
1 dhikri
75 · Anachosema aliyetukanwa hali ya kuwa amefunga
ما يقول الصائم إذا سابه أحد
1 dhikri
76 · Dua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye miti
الدعاء عند رؤية باكورة الثمر
1 dhikri
77 · Dua ya kupiga chafya (kuchemua)
دعاء العطاس
1 dhikri
78 · Anachoambiwa kafiri anapopiga chafya (chemua)
ما يقال للكافر إذا عطس فحمد الله
1 dhikri
79 · Dua ya kumuombea aliyeoa
الدعاء للمتزوج
1 dhikri
80 · Dua anayoomba bwana harusi, au aliyenunua chombo cha kupanda (kama mnyama au gari)
دعاء المتزوج و شراء الدابة
1 dhikri
81 · Dua kabla ya kujimai (kufanya tendo la ndoa)
الدعاء قبل إتيان الزوجة
1 dhikri
82 · Dua wakati mtu amekasirika
دعاء الغضب
1 dhikri
83 · Dua anayoomba mwenye kumuona kilema
دعاء من رأى مبتلى
1 dhikri
84 · Utajo unaosomwa katika kikao
ما يقال في اﻟﻤﺠلس
1 dhikri
85 · Kafara ya kikao
كفارة اﻟﻤﺠلس
1 dhikri
86 · Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu
الدعاء لمن قال غفر الله لك
1 dhikri
87 · Dua ya kumuombea aliyekufanyia wema
الدعاء لمن صنع إليك معروفا
1 dhikri
88 · Dua ya kujikinga na dajjal
ما يعصم الله به من الدجال
1 dhikri
89 · Dua ya kumuombea anaekwambia anakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu
الدعاء لمن قال إني أحبك في الله
1 dhikri
90 · Dua ya kumuombea aliyekusaidia kwa mali
الدعاء لمن عرض عليك ماله
1 dhikri
91 · Dua unapolipa deni
الدعاء لمن أقرض عند القضاء
1 dhikri
92 · Dua ya kuogopa kuingia katika ushirikina
دعاء الخوف من الشرك
1 dhikri
93 · Dua kwa aliyesema Mwenyezi Mungu akubariki
الدعاء لمن قال بارك الله فيك
1 dhikri
94 · Dua ya kuchukia ndege mbaya
دعاء كراهية الطيرة
1 dhikri
95 · Dua ya kupanda mnyama au chombo chochote cha kusafiria
دعاء الركوب
1 dhikri
96 · Dua ya safari
دعاء السفر
1 dhikri
97 · Dua ya kuingia mjini au kijijini
دعاء دخول القرية أو البلدة
1 dhikri
98 · Dua ya kuingia sokoni
دعاء دخول السوق
1 dhikri
99 · Dua wakati mnyama uliyempanda akileta tabu (au chombo cha safari)
الدعاء إذا تعس المركوب
1 dhikri
100 · Dua ya anaesafiri kuwaombea wakaazi
دعاء المسافر للمقيم
1 dhikri
101 · Dua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiri
دعاء المقيم للمسافر
2 dhikri
102 · Kumkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wa kuipanda milima na wakati wa kushuka
التكبير و التسبيح في سير السفر
1 dhikri
103 · Dua ya msafiri unapoingia usiku
دعاء المسافر إذا أسحر
1 dhikri
104 · Dua ya msafiri akishuka sehemu wakati yuko safarini
الدعاء إذا نزل مترلا في سفر أو غيره
1 dhikri
105 · Dua ya msafiri akirudi kutoka safarini
ذكر الرجوع من السفر
1 dhikri
106 · Anachosema mtu iliyemjia habari ya kufurahisha au kusikitisha
ما يقول من أتاه أمر يسره أو يكرهه
1 dhikri
107 · Fadhila za kumswalia Mtume (s.a.w)
فضل الصلاة على النبي صلى الله عليه و سلم
5 dhikri
108 · Fadhila za kueneza na kudhihirisha maamkizi ya kiislamu
إفشاء السلام
3 dhikri
109 · Namna ya kumrudishia salamu kafiri anapokusalimia
كيف يرد السلام على الكافر إذا سلم
1 dhikri
110 · Dua ukisikia mlio wa jogoo au wa punda
الدُّعاءُ عِنْدَ سَمَاعِ صِياحِ الدِّيكِ ونَهِيقِ الْحِمَارِ
1 dhikri
111 · Dua wakati wa kusikia mlio wa mbwa usiku
دعاء نباح الكلاب بالليل
1 dhikri
112 · Dua unayomuombea uliyemtukana
الدعاء لمن سببته
1 dhikri
113 · Anachosema muislamu akimsifu muislamu mwenziwe
ما يقول المسلم إذا مدح المسلم
1 dhikri
114 · Anachosema muislamu akisifiwa
ما يقول المسلم إذا زكي
1 dhikri
115 · Vipi ataleta talbiyah aliyehirimia kwaajili ya hijjah au umrah
كيف يلبي المحرم في الحج أو العمرة ؟
1 dhikri
116 · Takbira atakapofika katika hajar al-as'wad (katika alkaaba)
التكبير إذا أتى الركن الأسود
1 dhikri
117 · Dua inayosomwa baina ya nguzo ya yemeni na hajar al-as'wad (katika alkaaba)
الدعاء بين الركن اليماني والحجر الأسود
1 dhikri
118 · Dua ya kusomwa ukiwa umesimama katika mlima wa swafaa na mar'wah
دعاء الوقوف على الصفا والمروة
1 dhikri
119 · Dua ya siku ya arafah
الدعاء يوم عرفة
1 dhikri
120 · Utajo katika mash-arul haram (muzdalifa)
الذكر عند المشعر الحرام
1 dhikri
121 · Takbira anaporusha kila jiwe katika jamarah (nguzo)
التكبير عند رمي الجمار مع كل حصاة
1 dhikri
122 · Anachosema wakati wa kustaajabu na wakati wa furaha
دعاء التعجب والأمر السار
2 dhikri
123 · Anachofanya akipata habari ya kufurahisha
ما يفعل من أتاه أمر يسره
1 dhikri
124 · Anachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilini
ما يقول من أحس وجعا في جسده
1 dhikri
125 · Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho
دعاء من خشي أن يصيب شيئا بعينه
1 dhikri
126 · Kinachosemwa wakati wa mfazaiko
ما يقال عند الفزع
1 dhikri
127 · Anachosema wakati wa kuchinja
ما يقول عند الذبح أو النحر
1 dhikri
128 · Anachosema kwa ajili ya kurudisha (kuzuwia) vitimbi vya mashetani wabaya
ما يقول لرد كيد مردة الشياطين
1 dhikri
129 · Kuomba msamaha na kutubia
الاستغفار و التوبة
6 dhikri
130 · Fadhila za tasbiih, tahmiid, tahliil na takbiir
فضل التسبيح و التحميد، و التهليل، و التكبير
12 dhikri
131 · Vipi alikuwa Mtume (s.a.w) akimsabbih Mwenyezi Mungu?
كيف كان النبي يسبح؟
1 dhikri
132 · Katika mambo ya kheri na adabu kwa ujumla
من أنواع الخير والآداب الجامعة
1 dhikri
Hitima · Vinjari bila intaneti
Soma · Sikiliza
Hitima
Hitima · au kusoma huru · 604 kurasa
Vinjari bila intaneti
Tovuti yote pamoja nawe, popote
Hatua za usakinishaji
Android · iPhone
56 lugha
العربية
English
Français
Español
Deutsch
Italiano
Português
Nederlands
Svenska
Русский
Українська
Polski
Čeština
Română
Български
Magyar
Shqip
Bosanski
Српски
Türkçe
Azərbaycan
کوردی
فارسی
اردو
پښتو
Тоҷикӣ
हिन्दी
বাংলা
ગુજરાતી
தமிழ்
తెలుగు
ಕನ್ನಡ
മലയാളം
मराठी
සිංහල
नेपाली
অসমীয়া
ไทย
ភាសាខ្មែរ
Tiếng Việt
Indonesia
Melayu
Filipino
中文
日本語
한국어
Kiswahili
Hausa
Yorùbá
Soomaali
አማርኛ
Malagasy
Oʻzbek
Pulaar
Кыргызча
ئۇيغۇرچە