MwanzoDhikriDua ya kupatwa na janga au balaadhikri 2

Dua ya kupatwa na janga au balaa — dhikri 2

دعاء الكرب · Hisnul Muslim · 2 / 4

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ رَحْمَتَكَ أَرْجُو، فَلاَ تَكِلْنِي إِلَى نَفْسِي طَرْفَةَ عَيْنٍ، وَأَصْلِحْ لِي شَأْنِي كُلَّهُ، لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu rehema zako nataraji, usinitegemeze kwenye nafsi yangu japo kwa muda wa kupepesa jicho, na unitengenezee mambo yangu yote, hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha