MwanzoDhikriDua ya kupatwa na janga au balaadhikri 3

Dua ya kupatwa na janga au balaa — dhikri 3

دعاء الكرب · Hisnul Muslim · 3 / 4

Soma · SikilizaFaili la PDF

((لاَ إِلَهَ إِلاَّ أَنْتَ سُبْحَانَكَ إِنِّي كُنْتُ مِنَ الظّالِمِينَ)).

Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Wewe, kutakasika ni kwako, hakika mimi ni miongoni mwa waliodhulumu nafsi zao.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha