MwanzoDhikriDua ya kuamka kutoka usingizinidhikri 1

Dua ya kuamka kutoka usingizini — dhikri 1

أذكار الاستيقاظ من النوم · Hisnul Muslim · 1 / 4

Soma · SikilizaFaili la PDF

( الْحَمْدُ للَّهِ الَّذِي أَحْيَانَا بَعْدَ مَا أَمَاتَنَا، وَإِلَيْهِ النُّشُورُ )

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu ambae ametupa uhai baada ya kutufisha na nin kwake tu kufufuliwa. (Bukhar, katika Fathul-baar 11/113)

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha