MwanzoDhikriNyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala)dhikri 7

Nyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala) — dhikri 7

الأذكار بعد السلام من الصلاة · Hisnul Muslim · 7 / 8

Soma · SikilizaFaili la PDF

((لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ يُحْيِي وَيُمِيتُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ)) عَشْرَ مَرّاتٍ بَعْدَ صَلاةِ الْمَغْرِبِ وَالصُّبْحِ.

Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke yake, hana mshirika wake, ni wake Ufalme na ni zake sifa njema, anahuisha na anafisha, na Yeye ni muweza kwa kila kitu. (mara 10 baada ya swala ya Alfajiri na Magharibi).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha