MwanzoDhikriNyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala)dhikri 8

Nyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala) — dhikri 8

الأذكار بعد السلام من الصلاة · Hisnul Muslim · 8 / 8

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ عِلْماً نافِعاً، وَرِزْقاً طَيِّباً، وَعَمَلاً مُتَقَبَّلاً)) بَعْدَ السّلامِ مِنْ صَلاَةِ الفَجْرِ.

Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba elimu yenye kunufaisha, na riziki iliyo nzuri, na ibada yenye kukubaliwa. (Baada ya kutoa salamu ya swala ya Alfajiri).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha