MwanzoDhikriNyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala)dhikri 2

Nyiradi baada ya kutoa salam (kumaliza swala) — dhikri 2

الأذكار بعد السلام من الصلاة · Hisnul Muslim · 2 / 8

Soma · SikilizaFaili la PDF

((لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ، لَهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الْحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ [ثلاثاً]، اللَّهُمَّ لاَ مَانِعَ لِمَا أَعْطَيْتَ، وَلاَ مُعْطِيَ لِمَا مَنَعْتَ، وَلاَ يَنْفَعُ ذَا الْجَدِّ مِنْكَ الجَدُّ)).

Hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake hana mshirika, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, na yeye ni muweza wa kila kitu, Ewe Mwenyezi Mungu, hapana anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwako Wewe ndio (kunakotoka) utajiri.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha