MwanzoDhikriNyiradi za asubuhi na jionidhikri 14

Nyiradi za asubuhi na jioni — dhikri 14

أذكار الصباح والمساء · Hisnul Muslim · 14 / 24

Soma · SikilizaFaili la PDF

((يَا حَيُّ يَا قَيُّومُ بِرَحْمَتِكَ أَسْتَغيثُ أَصْلِحْ لِي شَأْنِيَ كُلَّهُ وَلاَ تَكِلْنِي إِلَى نَفْسِي طَرْفَةَ عَيْنٍ)).

Ewe Uliyehai, Uliyesimama kwa dhati yako, kwa rehema zako ninakuomba uniokoe, nitengenezee mambo yangu yote, wala usiniachie mambo yangu mwenyewe (pasina kunisaidia), hata kwa muda (mdogo, kama muda) wa kupepesa jicho.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha