MwanzoDhikriNyiradi za asubuhi na jionidhikri 13

Nyiradi za asubuhi na jioni — dhikri 13

أذكار الصباح والمساء · Hisnul Muslim · 13 / 24

Soma · SikilizaFaili la PDF

((رَضِيتُ بِاللَّهِ رَبَّاً، وَبِالْإِسْلاَمِ دِيناً، وَبِمُحَمَّدٍ صلى الله عليه وسلم نَبِيّاً)) (ثلاثَ مرَّاتٍ).

Nimeridhia kuwa Ewe Mwenyezi Mungu ndiye Mola wangu, na uislamu ndiyo dini yangu, na Muhammad (s.a.w) kuwa ndiye Mtume wangu. (mara tatu).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha