MwanzoDhikriNyiradi za asubuhi na jionidhikri 12

Nyiradi za asubuhi na jioni — dhikri 12

أذكار الصباح والمساء · Hisnul Muslim · 12 / 24

Soma · SikilizaFaili la PDF

((بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لاَ يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلاَ فِي السّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ)) (ثلاثَ مرَّاتٍ).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu ambae hakidhuru kwa jina lake kitu chochote kilichopo ardhini wala mbinguni, nae ni Msikivu na Mjuzi. (mara tatu).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha