MwanzoDhikriDua baada ya kuladhikri 2

Dua baada ya kula — dhikri 2

الدعاء عند الفراغ من الطعام · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((الْحَمْدُ لِلَّهِ حَمْداً كَثِيراً طَيِّباً مُبَارَكاً فِيهِ، غَيْرَ [مَكْفِيٍّ وَلاَ ] مُوَدَّعٍ، وَلاَ مُسْتَغْنَىً عَنْهُ رَبَّنَا)).

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa nyingi nzuri, zenye baraka ndani yake, zisizo toshelezwa, wala kuagwa wala kutoshwa (kutosheka) nazo mtu, Ewe Mola wetu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha