MwanzoDhikriDua ya upepo mkalidhikri 2

Dua ya upepo mkali — dhikri 2

دعاء الريح · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ خَيْرَهَا، وَخَيْرَ مَا فِيهَا، وَخَيْرَ مَا أُرْسِلَتْ بِهِ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا، وَشَرِّ مَا فِيهَا، وَشَرِّ مَا أُرْسِلَتْ بِهِ)).

Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kheri yake na kheri ya kilicho ndani yake, na kheri ya uliyoituma ndani yake, na najikinga kwako kutokana na shari yake, na shari iliyoko ndani yake, na shari iliyotumwa nao.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha