MwanzoDhikriDua ya upepo mkalidhikri 1

Dua ya upepo mkali — dhikri 1

دعاء الريح · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْــــــأَلُكَ خَيْرَهَا، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهَا)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kheri ya upepo huu, na na najikinga kwako na shari yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha