MwanzoDhikriDua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwadhikri 4

Dua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwa — dhikri 4

الدعاء للميت في الصلاة عليه · Hisnul Muslim · 4 / 4

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ عَبْدُكَ وَابْنُ أَمَتِكَ احْتَاجَ إِلَى رَحْمَتِكَ، وَأَنْتَ غَنِيٌّ عَنْ عَذَابِهِ، إِنْ كَانَ مُحْسِناً فَزِدْ فِي حَسَنَاتِهِ، وَإِنْ كَانَ مُسِيئاً فَتَجَاوَزْ عَنْهُ)).

Ewe Mwenyezi Mungu mja wako na mtoto wa kijakazi chako, ni muhitaji wa rehema yako, nawe huhitaji na kumuadhibu, kwahiyo akiwa ni mwema mzidishie katika mema yake, na akiwa ni muovu msamehe madhambi yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha