MwanzoDhikriDua ya kumfunga macho maitidhikri 1

Dua ya kumfunga macho maiti — dhikri 1

الدعاء عند إغماض الميت · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِفُلاَنٍ (بِاسْمِهِ) وَارْفَعْ دَرَجَتَهُ فِي الْمَهْدِيِّينَ، وَاخْلُفْهُ فِي عَقِبِهِ فِي الْغَابِرِينَ، وَاغْفِرْ لَنَا وَلَهُ يَا رَبَّ الْعَالَمِينَ، وَافْسَحْ لَهُ فِي قَبْرِهِ، وَنَوِّرْ لَهُ فِيهِ)).

Ewe Mwenyezi Mungu msamehe- (jina la maiti)- na lipandishe daraja lake katika walio ongoka, na weka badili yake kwa aliyoyaacha nyuma, na utusamehe sisi na yeye Ewe Mola wa viumbe vyote, na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha