MwanzoDhikriDua anayoomba mgonjwa aliyekata tamaa ya kuponadhikri 2

Dua anayoomba mgonjwa aliyekata tamaa ya kupona — dhikri 2

دعاء المريض الذي يئس من حياته · Hisnul Muslim · 2 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((جَعَلَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم عِنْدَ مَوْتِهِ يُدْخِلُ يَدَيْهِ فِي الْمَاءِ فَيَمْسَحُ بِهِمَا وَجْهَهُ، وَيَقُولُ: لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ إِنَّ لِلْمَوْتِ سَكَرَاتٍ)).

Imepokewa kutoka kwa Aisha (r.a) amesema: Wakati wa umati wake Mtume (s.a.w) alikuwa akiingiza mikono yake ndani ya maji kisha akipangusa kwayo uso wake na akisema: ''Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, hakika kifo kina uchungu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha