MwanzoDhikriDua ya Qunut ya witridhikri 2

Dua ya Qunut ya witri — dhikri 2

دعاء قنوت الوتر · Hisnul Muslim · 2 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِرِضَاكَ مِنْ سَخَطِكَ، وَبِمُعَافَاتِكَ مِنْ عُقُوبَتِكَ، وَأَعُــــوذُ بِكَ مِنْكَ، لاَ أُحْصِي ثَنَاءً عَلَيْكَ، أَنْتَ كَمَا أَثْنَيْتَ عَلَى نَفْسِكَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwa radhi zako kutokana na hasira zako, na kwa msamaha wako kutokana na adhabu yako, na najilinda kwako kutokana na Wewe, mimi siwezi kudhibiti sifa zako, Wewe ni kama ulivyojisifu Mwenyewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha