MwanzoDhikriDua za sijda ya kisomodhikri 2

Dua za sijda ya kisomo — dhikri 2

دعاء سجود التلاوة · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اكْتُبْ لِي بِهَا عِنْدَكَ أَجْراً، وَضَعْ عَنِّي بِهَا وِزْراً، وَاجْعَلْهَا لِي عِنْدَكَ ذُخْراً، وَتَقَبَّلْهَا مِنِّي كَمَا تَقَبَّلْتَهَا مِنْ عَبْدِكَ دَاوُدَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu niandikie kwako kwa sijda hii malipo, na nifutie kwayo madhambi, na ijaalie kwangu mbele yako ni akiba, na nikubalie kama ulivyomkubalia mja wako Daud.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha