MwanzoDhikriDua za sijda ya kisomodhikri 1

Dua za sijda ya kisomo — dhikri 1

دعاء سجود التلاوة · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سَجَدَ وَجْهِيَ لِلَّذِي خَلَقَهُ، وَشَقَّ سَمْعَهُ وَبَصَرَهُ بِحَوْلِهِ وَقُوَّتِهِ، ﴿فَتَبارَكَ اللَّهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ﴾)).

Umesujudu uso wangu kumsujudia yule aliyeuumba na akaupasua usikizi wake na uoni wake kwa uwezo wake na nguvu zake, ametakasika Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha