MwanzoDhikriFadhila za kueneza na kudhihirisha maamkizi ya kiislamudhikri 3

Fadhila za kueneza na kudhihirisha maamkizi ya kiislamu — dhikri 3

إفشاء السلام · Hisnul Muslim · 3 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

وَعَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا: أنَّ رَجُلاً سَأَلَ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم أيُّ الْإِسْلاَمِ خَيْرٌ قَالَ: ((تُطْعِمُ الطَّعَامَ، وَتَقْرأُ السَّلاَمَ عَلَى مَنْ عَرَفْتَ وَمَنْ لَمْ تَعْرِفْ)).

Imepokewa kutoka kwa Abdallah bin Omar (r.a) kwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume (s.a.w): 'Ni uislamu gani bora? Mtume (s.a.w) akamjibu: Kulisha chakula (masikini) na kumsalimia unaemjua na usiemjua.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha