MwanzoDhikriFadhila za kueneza na kudhihirisha maamkizi ya kiislamudhikri 1

Fadhila za kueneza na kudhihirisha maamkizi ya kiislamu — dhikri 1

إفشاء السلام · Hisnul Muslim · 1 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم: ((لاَ تَدْخُلُوا الْجَنَّةَ حَتَّى تُؤْمِنُوا، وَلاَ تُؤْمِنُوا حَتَّى تَحَابُّوا، أَوَلاَ أَدُلُّكُم عَلَى شَيْءٍ إِذَا فَعَلْتُمُوهُ تَحَابَبْتُم، أَفْشُوا السَّلاَمَ بَيْنَكُمْ)).

Amesema Mtume (s.a.w): ''Hamtaingia peponi mpaka muamini, na hamtakuwa waumini wa kweli mpaka mpendane. Hivi niwafahamishe kitu mkikifanya mtapendana? Salimianeni baina yenu.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha