MwanzoDhikriDua kabla ya kuladhikri 2

Dua kabla ya kula — dhikri 2

الدعاء قبل الطعام · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((مَنْ أَطْعَمَهُ اللَّهُ الطَّعَامَ فَلْيَقُلْ: اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيهِ وَأَطْعِمْنَا خَيْراً مِنْهُ، وَمَنْ سَقَاهُ اللَّهُ لَبَناً فَلْيَقُلْ اللَّهُمَّ بَارِكْ لَنَا فِيهِ وَزِدْنَا مِنْهُ)).

Yeyote ambaye Mwenyezi Mungu amemruzuku chakula aseme: ''Ewe Mwenyezi Mungu tubariki katika chakula hiki na tulishe bora kuliko hiki.'' Na yeyote ambae ameruzukiwa maziwa basi aseme: ''Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie kinywaji hiki na utuzidishie.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha