MwanzoDhikriDua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswaliadhikri 2

Dua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswalia — dhikri 2

الدعاء للفرط في الصلاة عليه · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اجْعَلْهُ لَنَا فَرَطاً، وَسَلَفاً، وَأَجْراً)).

Alikuwa Al-Hassan anamsomea mtoto mdogo Suratul-Fatiha kisha anasema: ''Ewe Mwenyezi Mungu, mfanye kwetu sisi ni kitangulizi cha malipo, na dhamana na malipo.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha