MwanzoDhikriDua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwadhikri 2

Dua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwa — dhikri 2

الدعاء للميت في الصلاة عليه · Hisnul Muslim · 2 / 4

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِحَيِّنَا وَمَيِّتِنَا، وَشَاهِدِنَا وَغَائِبِنَا، وَصَغِيرِنَا وَكَبيرِنَا، وَذَكَرِنَا وَأُنْثَانَا. اللَّهُمَّ مَنْ أَحْيَيْتَهُ مِنَّا فَأَحْيِهِ عَلَى الْإِسْلاَمِ، وَمَنْ تَوَفَّيْتَهُ مِنَّا فَتَوَفَّهُ عَلَى الإِيمَانِ، اللَّهُمَّ لاَ تَحْرِمْنَا أَجْرَهُ، وَلاَ تُضِلَّنَا بَعْدَهُ)).

Ewe Mwenyezi Mungu msamehe aliyehai katika sisi na aliyekufa, na aliyepo na asiyekuwepo, na mdogo katika yetu na mkubwa, na mwanamume kati yetu na mwanamke, Ewe Mwenyezi Mungu unayemuweka hai kati yetu basi muweke katika uislamu, na uliyemfisha basi mfishe juu ya imani, Ewe Mwenyezi Mungu muweke katika uislamu, na unayemfisha usitupoteze baada yake.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha