MwanzoDhikriDua ya aliyepatwa na shaka katika imani yakedhikri 3

Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake — dhikri 3

دعاء من أصابه وسوسة في الإيمان · Hisnul Muslim · 3 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((يَقْرَأُ قَوْلَهُ تَعَالَى: ﴿هُوَ الْأوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظّاهِرُ وَالْباطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ﴾)).

Asome aya hii katika Qur'an:- {Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu}. (Suratul-Hadiid: 3).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha