MwanzoDhikriDua ya anaekutana na adui au mwenye kutawaladhikri 1

Dua ya anaekutana na adui au mwenye kutawala — dhikri 1

دعاء لقاء العدو و ذي السلطان · Hisnul Muslim · 1 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنَّا نَجْعَلُكَ فِي نُحُورِهِم، وَنَعُوذُ بِكَ مِنْ شُرُورِهِمْ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua vyao, na tunajikinga kwako na shari zao.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha