MwanzoDhikriDua ukiwa na hamu na huzunidhikri 2

Dua ukiwa na hamu na huzuni — dhikri 2

دعاء الهم والحزن · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْهَمِّ وَالْحَزَنِ، وَالْعَجْزِ وَالْكَسَلِ، وَالْبُخْلِ وَالْجُبْنِ، وَضَلَعِ الدَّيْنِ وَغَلَبَةِ الرِّجَالِ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na hamu na huzuni na kutoweza na uvivu na ubakhili na uwoga na uzito wa deni na kushindwa na watu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha