MwanzoDhikriDua za kikao kati ya sijda mbilidhikri 2

Dua za kikao kati ya sijda mbili — dhikri 2

دعاء الجلسة بين السجدتين · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي، وَارْحَمْنِي، وَاهْدِنِي، وَاجْبُرْنِي، وَعَافِنِي، وَارْزُقْنِي، وَارْفَعْنِي)).

Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie (uniunge), na unipe afya, na uniruzuku, na uniinue.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha