MwanzoDhikriDua ya wakati wa kusujududhikri 7

Dua ya wakati wa kusujudu — dhikri 7

دعاء السجود · Hisnul Muslim · 7 / 7

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِرِضَاكَ مِنْ سَخَطِكَ، وَبِمُعَافَاتِكَ مِنْ عُقوبَتِكَ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْكَ، لاَ أُحْصِي ثَنَاءً عَلَيْكَ، أَنْتَ كَمَا أَثْنَيْتَ عَلَى نَفْسِكَ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwa radhi zako kutokana na hasira zako, na kwa msamaha wako kutokana na adhabu yako, na najilinda kwako unihifadhi na wewe, mimi siwezikuzidhibiti sifa zako, Wewe ni kama ulivyojisifu mwenyewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha