MwanzoDhikriDua ya kuingia Msikitinidhikri 1

Dua ya kuingia Msikitini — dhikri 1

دعاء دخول المسجد · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

(يَبْدَأُ بِرِجْلِهِ الْيُمْنَى) ، وَيَقُولُ: ((أَعُوذُ بِاللَّهِ العَظِيمِ، وَبِوَجْهِهِ الْكَرِيمِ، وَسُلْطَانِهِ الْقَدِيمِ، مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ)) [بِسْمِ اللَّهِ، وَالصَّلَاةُ] [وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ] ((اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ)).

Najilinda kwa Mwenyezi Mungu aliye Mtukufu, na kwa uso wake mtakatifu, na kwa utawala wake wa kale, kutokana na shetani aliye laaniwa, (kwa jina la Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu), Ewe Mwenyezi Mungu nifungulie milango ya rehema zako.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha