MwanzoDhikriKuomba msamaha na kutubiadhikri 5

Kuomba msamaha na kutubia — dhikri 5

الاستغفار و التوبة · Hisnul Muslim · 5 / 6

Soma · SikilizaFaili la PDF

وَقَالَ صلى الله عليه وسلم: ((أَقْرَبُ مَا يَكُونُ الْعَبْدُ مِنْ رَبِّهِ وَهُوَ سَاجِدٌ فَأَكثِرُوا الدُّعَاءَ)).

Pia Mtume (s.a.w) amesema: ''Sehemu ambayo mja anakuwa yupo karibu mno na Mola wake ni wakati amesujudu, basi zidisheni dua wakati huo.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha