MwanzoDhikriKuomba msamaha na kutubiadhikri 2

Kuomba msamaha na kutubia — dhikri 2

الاستغفار و التوبة · Hisnul Muslim · 2 / 6

Soma · SikilizaFaili la PDF

وَقَالَ صلى الله عليه وسلم: ((يَا أَيُّهَا النَّاسُ تُوبُوا إِلَى اللَّهِ فَإِنِّي أَتُوبُ فِي الْيَوْمِ إِلَيْهِ مِائَةَ مَرَّةٍ)).

Pia Mtume (s.a.w) amesema: ''Enyi watu tubieni kwa Mwenyezi Mungu kwani mimi ninatubia kwake kwa siku mara mia.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha