MwanzoDhikriAnachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilinidhikri 1

Anachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilini — dhikri 1

ما يقول من أحس وجعا في جسده · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((ضَعْ يَدَكَ عَلَى الَّذِي تَألَّمَ مِنْ جَسَدِكَ وَقُلْ: بِسْمِ اللَّهِ، ثَلاَثاً، وَقُلْ سَبْعَ مَرَّاتٍ: أَعُوذُ بِاللَّهِ وَقُدْرَتِهِ مِنْ شَرِّ مَا أَجِدُ وَأُحَاذِرُ)).

Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme: ''Kwa jina la Mwenyezi Mungu. (mara tatu). Kisha useme mara saba: ''Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha