قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم: ((إِذَا كَانَ أَحَدُكُم مَادِحاً صَاحِبَهُ لاَ مَحَالَةَ فَلْيَقُلْ: أَحْسِبُ فُلاَناً وَاللَّهُ حَسِيبُهُ، وَلاَ أُزَكِّي عَلَى اللَّهِ أَحَداً، أَحْسِبُهُ – إِنْ كَانَ يَعْلَمُ ذَاكَ – كَذَا وَكَذَا)).
Iwapo hakuna budi kwa mtu kumsifu mwenzake basi aseme: 'Namdhania fulani kuwa kadha na kadha..., na Mwenyezi Mungu ndiye atakae muhesbu wala simtakasi kwa Mwenyezi Mungu yeyote.'
Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham