MwanzoDhikriFadhila za kumswalia Mtume (s.a.w)dhikri 4

Fadhila za kumswalia Mtume (s.a.w) — dhikri 4

فضل الصلاة على النبي صلى الله عليه و سلم · Hisnul Muslim · 4 / 5

Soma · SikilizaFaili la PDF

وَقَالَ صلى الله عليه وسلم:((إِنَّ لِلَّهِ مَلاَئِكَةً سَيَّاحِينَ فِي الْأَرْضِ يُبَلِّغُونِي مِنْ أُمَّتِي السَّلاَمَ)).

Na amesema Mtume (s.a.w): ''Hakika Mwenyezi Mungu, ana Malaika wanazunguka katika ardhi, wananiletea salamu kutoka kwa umma wangu.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha