MwanzoDhikriDua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiridhikri 2

Dua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiri — dhikri 2

دعاء المقيم للمسافر · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((زَوَّدَكَ اللَّهُ التَّقْوَى، وَغَفَرَ ذَنْبَكَ، وَيَسَّرَ لَكَ الخَيْرَ حَيْثُ ما كُنْتَ)).

Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha Mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha