MwanzoDhikriDua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiridhikri 1

Dua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiri — dhikri 1

دعاء المقيم للمسافر · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

(( أَسْتَوْدِعُ اللَّهَ دِينَكَ، وَأَمَانَتَكَ، وَخَوَاتِيمَ عَمَلِكَ)).

Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha