MwanzoDhikriNyiradi za asubuhi na jionidhikri 17

Nyiradi za asubuhi na jioni — dhikri 17

أذكار الصباح والمساء · Hisnul Muslim · 17 / 24

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سُبْحَانَ اللَّهِ وَبِحَمْدِهِ)) (مائة مرَّةٍ).

Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu peke yake, hana mshirika wake, niwake Ufalme, na ni zake sifa njema zote, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza. (Mara kumi, au mara moja ukisikia uvivu).

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha