MwanzoDhikriNyiradi za wakati wa kulaladhikri 4

Nyiradi za wakati wa kulala — dhikri 4

أذكار النوم · Hisnul Muslim · 4 / 13

Soma · SikilizaFaili la PDF

((بِاسْمِكَ رَبِّي وَضَعْتُ جَنْبِي، وَبِكَ أَرْفَعُهُ، فَإِن أَمْسَكْتَ نَفْسِي فارْحَمْهَا، وَإِنْ أَرْسَلْتَهَا فَاحْفَظْهَا، بِمَا تَحْفَظُ بِهِ عِبَادَكَ الصَّالِحِينَ)).

(102) Mtume (s.a.w) pia amesema: (Akiamka mmoja wenu kutoka usingizini kisha akarudi basi akikung'ute kitanda chake kwa shuka lake mara tatu, na amtaje Mwenyezi Mungu, kwani hajui kilichokuja baada yake. Na akilala aseme: ''Kwa jina lako Mola wangu, nimeweka ubavu wangu na kwa ajili yako nitaunyanyua, na ukiizuia (ukiichukuwa) roho yangu, basi irehemu, na ukiirudisha basi ihifadhi, kwa kile unacho wahifadhi nacho waja wako wema.''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha