MwanzoDhikriDua ya aliyepatwa na msibadhikri 1

Dua ya aliyepatwa na msiba — dhikri 1

دعاء من أصيب بمصيبة · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ، اللَّهُمَّ أْجُرْنِي فِي مُصِيبَتِي، وَأَخْلِفْ لِي خَيْرَاً مِنْهَا)).

Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu, na unipe badili yake bora kuliko huo.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha