MwanzoDhikriDua ya kumtembelea mgonjwadhikri 2

Dua ya kumtembelea mgonjwa — dhikri 2

الدعاء للمريض في عيادته · Hisnul Muslim · 2 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((أَسْأَلُ اللَّهَ الْعَظيمَ رَبَّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ أَنْ يَشْفيَكَ)) (سبع مرات).

Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): Hapana mja yeyote muislamu anaemtembelea mgonjwa ambae wakati wa kufa bado haujafika na akamuombea mara saba: ''Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mola wa Arshi tukufu (akuponyeshe).'' Isipokuwa Mwenyezi Mungu humponyesha mgonjwa huyo.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha