MwanzoDhikriDua ya kumtembelea mgonjwadhikri 1

Dua ya kumtembelea mgonjwa — dhikri 1

الدعاء للمريض في عيادته · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((لاَ بأْسَ طَهُورٌ إِنْ شَاءَ اللَّهُ)).

Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w) anapoingia kumzuru mgonjwa akimwambia: ''Hakuna neno (ugonjwa) ni kusafishwa (na madhambi), anapopenda Mwenyezi Mungu.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha