MwanzoDhikriDua ya kulipa denidhikri 1

Dua ya kulipa deni — dhikri 1

دعاء قضاء الدين · Hisnul Muslim · 1 / 2

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ اكْفِنِي بِحَلاَلِكَ عَنْ حَرَامِكَ، وَأَغْنِنِي بِفَضْلِكِ عَمَّنْ سِوَاكَ)).

Ewe Mwenyezi Mungui nitosheleze mimi na halali yako kutokana na haramu, na unitosheleze kwa fadhila zako nisiwahitaji wengine wasiokuwa Wewe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha