MwanzoDhikriDua ya kuvaa nguo mpyadhikri 1

Dua ya kuvaa nguo mpya — dhikri 1

دعاء ُلبْس الثوب الجديد · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

( اللَّهُمَّ لَكَ الْحَمْدُ أَنْتَ كَسَوْتَنِيهِ، أَسْأَلُكَ مِنْ خَيْرِهِ وَخَيْرِ مَا صُنِعَ لَهُ، وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ شَرِّهِ وَشَرِّ مَا صُنِعَ لَهُ).

Ewe Mwenyezi Mungu sifa njema ni zako, wewe ndiye uliyenivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii imetengenezewa, na najilinda kwako kutokana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha