MwanzoDhikriDua baada ya tashahhud ya mwisho kabla ya salamdhikri 7

Dua baada ya tashahhud ya mwisho kabla ya salam — dhikri 7

الدعاء بعد التشهد الأخير قبل السلام · Hisnul Muslim · 7 / 11

Soma · SikilizaFaili la PDF

((اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ الْجَنَّةَ وَأَعُوذُ بِكَ مِنَ النَّارِ)).

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba pepo, na najilinda kwako kutokana na moto.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha