MwanzoDhikriDua ya wakati wa kusujududhikri 2

Dua ya wakati wa kusujudu — dhikri 2

دعاء السجود · Hisnul Muslim · 2 / 7

Soma · SikilizaFaili la PDF

((سُبْحَانَكَ اللَّهُمَّ رَبَّنَا وَبِحَمْدِكَ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي)).

Kutakasika ni kwako, Ewe Mwenyezi Mungu Mola wetu, na sifa njema zote ni zako, Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha