MwanzoDhikriDua ya kuinuka kutoka kwenye rukuudhikri 3

Dua ya kuinuka kutoka kwenye rukuu — dhikri 3

دعاء الرفع من الركوع · Hisnul Muslim · 3 / 3

Soma · SikilizaFaili la PDF

((مِلْءَ السَّمَوَاتِ وَمِلْءَ الأَرْضِ، وَمَا بَيْنَهُمَا، وَمِلْءَ مَا شِئْتَ مِنْ شَيءٍ بَعْدُ. أَهلَ الثَّناءِ وَالْمَجْدِ، أَحَقُّ مَا قَالَ الْعَبْدُ، وَكُلُّنَا لَكَ عَبْدٌ. اللَّهُمَّ لاَ مَانِعَ لِمَا أَعْطَيْتَ، وَلاَ مُعْطِيَ لِمَا مَنَعْتَ، وَلاَ يَنْفَعُ ذَا الجَدِّ مِنْكَ الجَدُّ)).

(Sifa zako) Zimejaa mbingu, na zimejaa ardhi, na vilivyomo ndani yake, na zimejaa (sifa zako) kwa ulichokitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyoyasema mja wako, na sote ni waja wako, Ewe Mwenyezi Mungu hapana anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwako Wewe ndio (kuna) utajiri.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha