MwanzoDhikriDua ya kutoka Msikitinidhikri 1

Dua ya kutoka Msikitini — dhikri 1

دعاء الخروج من المسجد · Hisnul Muslim · 1 / 1

Soma · SikilizaFaili la PDF

((يَبْدَأُ بِرِجْلِهِ الْيُسْرَى)) وَيَقُولُ: ((بِسْمِ اللَّهِ وَالصّلَاةُ وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ، اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِك، اللَّهُمَّ اعْصِمْنِي مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ)).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwnyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila zako, Ewe Mwenyezi Mungu nilinde kutokana na shetani aliye laaniwa.

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha