MwanzoDhikriFadhila za tasbiih, tahmiid, tahliil na takbiirdhikri 12

Fadhila za tasbiih, tahmiid, tahliil na takbiir — dhikri 12

فضل التسبيح و التحميد، و التهليل، و التكبير · Hisnul Muslim · 12 / 12

Soma · SikilizaFaili la PDF

الباقيات الصالحات : سبحان الله والحمد لله ، ولا إله إلا الله ،والله أكبر ،و لا حول ولا قوة إلا بالله

Mema yasioisha ni: ''Ametakasika Mwenyezi Mungu, na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, na hakuna uwezo wala nguvu ila za Mwenyezi Mungu, (ila kwa kuwezeshwa na Mwenyezi Mungu).''

Sikiliza · Sauti ya Hamad al-Duraiham

Dhikri · 15 lugha